Waziri Simbachawene akutana na ujumbe kutoka Shell-Tanzania na IMED

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh George Simbachawene (mwenye shati la bluu) akiwa katika picha ya pamoja Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na ujumbe kutoka Shell Tanzania na Taasisi ya Uongozi na Ujasiriamali (IMED) walipomtembelea Ofisini kwake katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Ujumbe huo umemtembelea Mh. Waziri kwa ajili ya kumpatia maelekezo ya kina kuhusiana na Taasisi hizo zinavyoshirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais katika suala zima la matumizi ya Nishati mbadala.[:]