Waziri Simbachawene afungua Mkutano wa 5 wa kisayansi juu ya utunzaji endelevu wa mazingira

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mheshimiwa George Simbachawene akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa kisayansi juu ya utunzaji endelevu wa Mazingira ulioandaliwa na Baraza la usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) jijini Arusha[:]