WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KAMATI YA MAZINGIRA TABORA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akizungumza na mamia ya wakazi wa Mkoa wa Tabora (hawapo pichani) waliojitokeza katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kumsikiliza. Waziri Makamba amezindua Kamati ya Mazingira na kuwataka wananchi hao kuwa mstari wa mbele kusimamia masuala ya mazingira katika maeneo yao[:]