Waziri Makamba atoa tamko la Siku ya Mazingira 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akitoa tamko la Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani mbele ya Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari Jijini Dar es Salaam. Wiki hii itaadhimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam