WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAJUMBE WA KIKOSI KAZI CHA KATAZO LA MIFUKO YA PLASTIKI JIJINI DODOMA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akifafanua jambo alipokutana na Wajumbe wa Kikosi kazi cha katazo la mifuko ya plastiki jijini Dodoma.[:]