WARSHA YA WADAU KUPITIA RASIMU YA MPANGO KAZI WA AFYA NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KWA TANZANIA.

[:en]Mgeni Rasmi katika warsha ya wadau kupitia rasimu ya mpango kazi wa afya na uchafuzi wa mazingira kwa Tanzania ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya Bwana Theophil Likangaga akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa warsha hiyo.[:]