Viongozi wa timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja mara

baada ya kukabidhi tuzo maalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani, Stephen Mapunda Mwenyekiti Kamati ya Ufundi na Bw. Vian Nchimbi shabiki wa timu hiyo.