UTAFITI UMEFANYIKA KUHUSU MBADALA WA MIFUKO YA PLASTIKI

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea na waandishi wa Habari kufafanua tamko la Serikali la kupiga marufuku uzalishaji, usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchini. Mkutano huo umefanyika hii leo katika jengo la PSSSF jijjini Dodoma.[:]