Tamasha la Tulonge lafana

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akijumuika katika Tamasha la wananchi katika Viwanja vya Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha la ‘Tulonge Mazingira na Mimi’ limefanyika mwishoni mwa wiki na kujumuisha wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.[:]