Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) akiwasikiliza wadau wa vyuma chakavu kutoka Tanzania Scraps Dealers Association (TSDA) alipokutana ofisini kwake jijini Dar es Salaam.