Waziri Simbachawene ahudhuria Mkutano wa Mawaziri Afrika Kusini

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais George Simbachawene akisalimiana na Bi. Joyce Msuya, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Afrika unaofanyika Mjini Durban, Afrika Kusini.[:]