Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima (wa pili kulia) akiwa katika ziara ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza chokaa cha Neelkanth cha jijini Tanga kukagua utekelezaji wa sheria ya mazingira