Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa akitoa maelezo kuhusu mradi wa reli ya kisasa (SGR) unavyofuata sheria ya mazingira wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Baishara na Mazingira ilipotembelea mradi huo eneo la Pugu jijini Dar es Salaam.