Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais- Mh. Mussa Sima akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya usafi wa mazingira na Mkutano wa Maafisa Afya wa Mikoa, Halmashauri na Wadau ulioandaliwa na Wizara ya Afya na kufanyika katika ukumbi wa Landmark jijini Dodoma.