Simbachawene agoma kufungua machinjio ya Msalato

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mhe. George Simbachawene akipata maelekezo toka kwa Afisa Mipango miji wa jiji la Dodoma Bwana Shabani Juma wakati akikagua jengo la machinjio katika eneo la Msalato jijini Dodoma.[:]