OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA.

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. January Makamba akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya miradi ya Utekelezaji Ofisi ya Makamu wa Rais katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.[:]