OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA.

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. Mussa Sima akifafanua jambo kwa Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na sheria wakati wa mawasilisho ya taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano, jijini Dodoma.[:]