Ofisi ya Makamu wa Rais yawapa mafunzo wafanyakazi TANESCO

[:en]Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Bi Kemilembe Mutasa mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya udhibiti wa kemikali aina ya PCB iliyopo kwenye mafuta ya transfoma[:]