Ofisi ya Makamu wa Rais yatoa mafunzo ya kurejeleza gesi iliyotumika katika mafriji , viyoyozi na mitambo ya kupozea joto.

[:en]Washiriki waliohudhuria warsha ya mafunzo yaliyoyolewa na Ofisi ya Makamu wa rais na UNIDO wakifanya mazoezi kwa vitendo[:]