OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAMUAGA MKURUGENZI MSAIDIZI IDARA YA MAZINGIRA ALIYESTAAFU UTUMISHI WA UMMA

[:en]Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Joseph Malongo akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Mstaafu wa Idara ya Mazingira Bi Ester Makwaiya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa kumuaga Mkurugenzi huyo.[:]