Ofisi ya Makamu wa Rais yaandaa warsha kuhusu utekelezeji wa marufuku ya mifuko ya plastiki kwa Maafisa Mazingira wa Mikoa Tanzania Bara

[:en]Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Kemilembe Mutasa akiongea na Wajumbe wa kikao kinachohusu Katazo la mifuko ya plastiki kilichoshirikisha Maafisa Mazingira wa Mikoa ya Tanzania kikao hiko kimeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma katika ukumbi wa Nyaraka[:]