Ofisi ya Makamu wa Rais yaandaa mafunzo kwa Wakufunzi wa vyuo vya VETA juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi

[:en]Washiriki waliohudhuria warsha ya mafunzo kwa wakufunzi kutoka vyuo vya VETA juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi bila kuachia angani kemikali zinazoaathiri mazingira wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais[:]