Ofisi ya Makamu wa Rais yaandaa mafunzo kwa vitendo kwa Wakufunzi wa vyuo vya VETA

[:en]Washiriki waliohudhuria warsha ya mafunzo kwa wakufunzi kutoka vyuo vya VETA juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi bila kuachia angani kemikali zinazoaathiri mazingira wakiwa katika mafunzo ya vitendo juu ya ufungaji wa kiyoyozi kwa njia salama za kimazingira katika karakana ya VETA-Changombe wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais[:]