OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA KIKAO CHA WAWEKEZAJI NA WADAU WA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI JIJINI DAR ES SALAAM.

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki, Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Joseph Kakunda wakati wa kikao Wadau wa uzalishaji na uwekezaji wa mifuko mbadala wa plastiki kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.[:]