Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na UNIDO waandaa warsha ya mafunzo ya kurejeleza gesi iliyotumika katika mafriji , viyoyozi na mitambo ya kupozea joto.

[:en]Mgeni Rasmi katika Warsha ya mafunzo ya kurejeleza gesi zilizotumika na madhara yatokanayo na matumizi ya gesi feki ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Faraja Ngerageza akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe waliohudhuria warsha hiyo iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na UNIDO[:]