NAIBU WAZIRI SIMA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO- POLAND

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akisalimiana na Prof. Petteri Taalas Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization. Naibu Waziri Sima anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea Katowice Poland. Kushoto ni Bw. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira.[:]