NAIBU WAZIRI SIMA AGAWA PIKIPIKI KWA VIKUNDI VYA KUHIFADHI MAZINGIRA

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mussa Sima akabidhi pikipiki kwa vikundi vya utoaji elimu ya mazingira kwa Wilaya tano za Makete, Mbinga, Nyasa, Ludewa na Kyela kupitia mradi wa Usimamizi endelevu wa rasilimali ardhi katika ukanda wa Ziwa Nyasa. Ugawaji wa pikipiki hizo umefanyika katika Wilaya ya Kyela.[:]