Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola

Kangi Lugola akieleza mikakati ya Serikali katika kupambana na mabadiliko ya tabia nchi hapa nchini wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma.