Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akiwasikiliza wafanyabiashara wa vyuma chakavu kutoka Mkoa wa Tanga alipokutana nao jijini Dodoma ambapo kikao kilichohudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu Ofisi hiyo Balozi Joseph Sokoine.