NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA NAMTUMBO.

[:en]Naibu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Waziri Mussa Sima akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme vitambulisho maalumu vya wakaguzi wa Mazingira vilivyotolewa na Ofisi yake kwa mujibu wa Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004.[:]