Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais atembelea miradi ya kuchakata gesi Mtwara

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Prof. Esnat Chagu na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Samuel Gwamaka wakitembelea mradi wa gesi uliopo Madimba mkoani Mtwara[:]