NAIBU WAZIRI ATEMBELEA RANCHI YA KONGWA

[:en]Meneja wa Ranchi ya Kongwa Bw. Euzebius Mutayabarwa akifafanua jambo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima na ujumbe wake mara baada ya kutembelea ranchi hiyo leo iliyopo Wilayani Kongwa Jijini Dodoma.[:]