Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Utekelezaji wa Katazo la Matumizi ya Mifuko ya Plastiki nchini, Balozi Joseph Sokoine akiongoza kikao cha tisa jijini Dodoma.