NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI

[:en]Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balaozi Joseph Sokoine akiongea na Waandishi wa habari jijini Dodoma wakati akitoa maelezo kuhusiana na zoezi zima la katazo la mifuko ya plastiki. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Kanizio Manyika.[:]