MWEKEZAJI TOKA SWEDEN ATEMBELEA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

[:en]Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe Ofisi ya Makamu wa Rais, Wizara ya Mambo ya Nje pamoja na Mwekezaji kutoka Sweden waliohudhuria kikao hiko jijini Dodoma.[:]