MKUTANOWA 23 WA MABADILKO YA TABIANCHI, BONN, UJERUMANI

Mkurugenzi  wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi (kulia) na Dr.  Fabian Madele (kushoto)   Mwingine ni  Dr. Paul Desanke mratibu wa masuala ya kuhimili mabadiliko ya tabia nchi kwa nchi zinazoendelea  katika Mkutano mjini  Bonn, Ujerumani wakiwa na  Gavana  Arnold Schwarzenegger .