MKUTANO WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAURITANIA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia maoni ya Tanzania juu ya masuala ya Ulinzi na Amani katika nchi za Burundi, Congo DRC, na Sudan ya Kusini wakati wa mkutano wa kawaida wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)mjini Nouakchott, Mauritania.[:]