MITI 1000 YAPANDWA KATIKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS – IHUMWA

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akizindua zoezi la upandaji miti katika mji wa Serikali Dodoma. Miti 800 aina ya “midodoma” imepandwa katika eneo hilo na miti 200 ya aina nyingine pia imepandwa ikiwa ni mkakati wa Serikali wa kuifanya Dodoma kuwa ya kijani. Kulia ni Bw. Timothy Mande Afisa Misitu kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais.[:]