Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa alipofika nyumbani kwa Marehemu Masaki Jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2020.