Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.

Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Khaya Anthotheca katika Msitu wa Mwalimu Nyerere
Butiama Mkoani Mara, katika kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani mwaka huu.