Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo Juni 06,2020 katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage Jijini Dodoma.