Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wabunge wakati akiingia Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma kabla ya Bunge la 11 kuhitimishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.