Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu uandaaji wa vifaa vya aina mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya mambo ya umeme kutoka kwa Muzna Abdalla wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.