Makamu wa Rais Mkutanoni – Mauritania

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia kwa makini yanayoendelea kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) katika mji Nouakchott, Mauritania ambako anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.[:]