Makamu wa Rais asema Dodoma ya kijani inawezekana

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua miti iliyopandwa wakati wa kampeni ya kukijanisha Dodoma katika eneo la Mzakwe jijini Dodoma ikiwa sehemu ya ufuatiliaji wa ukuaji wa miti hiyo[:]