MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi . Balozi Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi Makamu wa Rais[:]