Makamu wa Rais ajiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katika Kituo cha Shule ya Msingi Kilimani Jijini Dodoma leo