Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani

Sehemu ya waandishi wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari wakifutilia maelezo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa  Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (hayupo pichani) wakati akielezea ratiba nzima ya kuadhimisha Siku ya Mazingira mwaka huu