KIKOSI KAZI CHA MARUFUKU YA MIFUKO YA PLASTIKI CHATEMBELEA JIJI LA DODOMA

[:en]Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa William Mwegoha akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma kujionea hali juu ya katazo la mifuko ya plastiki.[:]