Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wake Balozi Joseph Sokoine wakibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula nje jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma baada ya Kikao cha kujadili Kanuni za Taka za Kielekroniki.